Katavi Ipo Mkoa Gani

Katavi ipo mkoa gani

Mkoa wa Katavi ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodinamba 50000 .[1].

Katavi ipo mkoa gani

Ulianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Rukwa.

Makao makuu yako Mpanda.

Katavi ipo mkoa gani

Wilaya

Wilaya za mkoa huo mpya ni tatu pekee: Mlele, Mpanda mjini na Tanganyika (awali Mpanda vijijini).

Wakazi

Katika sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi ilihesabiwa kuwa 564,604.

Show him you are the best option

[2]

Utamaduni

Kabila kubwa ni lile la Wafipa; pia kuna Wabende, Wapimbwe na Wakonongo na dini yao kwa kiasi kikubwa sana ni Ukristo wa madhehebu ya Kanisa Katoliki.

Ni kweli Wafipa ni kabila kubwa lakini kuna jamii ya kabila la Wapimbwe ambalo linapatikana katika maeneo ya Tarafa ya Mpimbwe ambalo kwa kiasi kikubwa ndio hasa wenyeji wa mkoa huu mpya wa Katavi ambalo kwa asili linapatikana katika vijiji vya Mamba, Mpimbwe na Majimoto.

Top low leverage trading platform

Kama utafuatilia vizuri katika kijiji cha Mamba kuna kivutio kizuri: bwawa kubwa la asili la maji ya moto ambayo hayapoi muda wote, ni ya moto iwe mchana au usiku.

Kabila lingine ni Wakonongo ambao nao wanatokea mkoa huu mpya.

Utalii wa Ndani : Mkoa wa Katavi - 27.05.2017

Pia kuna sehemu za mkoa huu ni wa kihistoria katika baadhi ya maaneo. Mfano mtaa wa Madukani ambao walikua wakiishi Wahindi na Waarabu wa Oman kama Mzee Yusuf Al Salmi.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Tazama pia

Marejeo

  1. ↑https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/katavi.pdf
  2. ↑[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi]

Viungo vya nje

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.

Katavi ipo mkoa gani


Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?

Katavi ipo mkoa gani


Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.